sw_tn/psa/069/034.md

20 lines
510 B
Markdown

# Acha mbingu na nchi zimsifu ... bahari
Hapa mbingu na nchi na bahari zinazungumziwa kana kwamba ni watu wanaoweza kumsifu Mungu.
# bahari na kila kitu kinachoenda ndani yake
"acha bahari na kila kitu kinachoenda ndani yake kimsifu Mungu"
# Mungu ataiokoa Sayuni
Hapa "Sayuni" inamaanisha watu wa Sayuni. "Mungu atawaokoa watu wa Sayuni"
# kuwa nayo kama mali ya kumiliki
Hapa neno "nayo" linamaanisha nchi ya Yuda.
# wanaopenda jina lake
Hapa "jina" linamaanisha Mungu mwenyewe. "wanaompenda Mungu"