sw_tn/psa/068/034.md

16 lines
372 B
Markdown

# Mhesabieni Mungu nguvu
"Mhesabieni" inamaanisha kumpa mtu sifa. "Nguvu ni ya Mungu"
# nguvu yake iko angani
"katika anga pia anaonesha kuwa ana uwezo"
# Mungu, wewe unatisha katika sehemu yako takatifu
Hapa mwandishi anazungumza moja ka moja na Mungu.
# nguvu na uwezo
Maneno haya mawili yana maana moja. Yanasisitiza kiasi ambacho Mungu anawapa nguvu watu wake.