sw_tn/psa/068/022.md

20 lines
735 B
Markdown

# nitawarudisha
Watakaorudishwa ni adui wa Mungu.
# vilindi vya bahari
Hii ni lahaja inayomaanisha sehemu za mbali za duniani ambapo watu watajaribu kumtoroka Mungu.
# uwaponde adui zako
Uharibifu wa adui wa Israeli unazungumziwa kana kwamba Waisraeli waliwagandamiza chini ya miguu yao. "kuwashinda kabisa adui zako"
# unachovya mguu wako kwenye damu
Vurugu ya kutoka kwenye uharibifu wa adui unazungumziwa katika njia ya picha kali, kana kwamba Waisreali watakuwa wakisimama katika damu ya adui zao waliokufa. "kukanyaga katika damu yao"
# ndimi za mbwa wako wawe na gao lao
Umwagaji wa damu katika vita dhidi ya adui wa Israeli unazungumziwa kana kwamba ni mkubwa sana hadi mbwa watalamba damu inayotiririka kwa ndimi zao.