sw_tn/psa/067/007.md

4 lines
214 B
Markdown

# na mwisho wote wa dunia unamheshimu
Hii inamaanisha kwamba watu kila sehemu wanapaswa kumheshimu Mungu kwa sababu ya baraka zake. "ninatamani kwamba watu wote kila mahali duniani wawe na heshima ya ajabu kwake"