|
# watamkimbilia yeye
|
|
|
|
Kwend akwa Yahwe kwa ajili ya ulinzi inazungumziwa kama kumkimbilia. "enda kwake kwa ajili ya ulinzi"
|
|
|
|
# wanyofu wote wa moyo tajivunia kwake
|
|
|
|
Hapa "wanyofu moyoni" ni lahaja inayomaanisha wanyofu na wenye haki. "watu wote wanyofu watamsifu yeye"
|