# watamkimbilia yeye Kwend akwa Yahwe kwa ajili ya ulinzi inazungumziwa kama kumkimbilia. "enda kwake kwa ajili ya ulinzi" # wanyofu wote wa moyo tajivunia kwake Hapa "wanyofu moyoni" ni lahaja inayomaanisha wanyofu na wenye haki. "watu wote wanyofu watamsifu yeye"