sw_tn/psa/043/001.md

20 lines
581 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# Mungu wa nguvu yangu
Maana zinazowezekana ni 1) "Mungu unayenilinda" au 2) "Mungu unayenipa nguvu"
# Kwa nini umenikataa? Kwa nini ninaomboleza kwa sababu ya ukandamizaji wa adui?
Mwandishi anauliza maswali haya ili kulalamika kwa Mungu na kuonesha hisia yake, sio kupata jibu.
# Kwa nini ninaomboleza
"Kuomboleza" ni kufanya matendo yana onesha kuwa na huzuni sana.
# kwa sababu ya ukandamizaji wa adui
Neno "ukandamizaji" linaweza kutafsiriwa kama kitenzi. "kwa sababu adui zangu wananikandamiza"