sw_tn/psa/042/009.md

20 lines
636 B
Markdown

# Nitasema kwa Mungu, mwamba wangu
Mwandishi anamzungumzia Mungu kana kwamba ni mwamba mkubwa utakaotoa ulinzi dhidi ya mashambulizi ya adui.
# Kwa nini ninaenda kuomboleza
"Kwenda kuomboleza" nikufanya desturi zinazokaribiana na kuwa huzuni sana.
# Kama na upanga ndani ya mifupa yangu
Mwandishi anaelezea kukemea kwa adui zake kama kupokea kidondo hatari.
# huwa wanasema kwangu
Hii ni ukuzaji wa neno; adui zake hawasemi hivi kila wakati bali wanasema mara kwa mara.
# Yuko wapi Mungu wako?
Adui wa mwandishi wanatumia swali hili kumkejeli na kuonesha kuwa hawaoni Mungu wake akimsaidia. "Mungu wako hayuko hapa kukusaidia"