# Nitasema kwa Mungu, mwamba wangu Mwandishi anamzungumzia Mungu kana kwamba ni mwamba mkubwa utakaotoa ulinzi dhidi ya mashambulizi ya adui. # Kwa nini ninaenda kuomboleza "Kwenda kuomboleza" nikufanya desturi zinazokaribiana na kuwa huzuni sana. # Kama na upanga ndani ya mifupa yangu Mwandishi anaelezea kukemea kwa adui zake kama kupokea kidondo hatari. # huwa wanasema kwangu Hii ni ukuzaji wa neno; adui zake hawasemi hivi kila wakati bali wanasema mara kwa mara. # Yuko wapi Mungu wako? Adui wa mwandishi wanatumia swali hili kumkejeli na kuonesha kuwa hawaoni Mungu wake akimsaidia. "Mungu wako hayuko hapa kukusaidia"