forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
748 B
Markdown
28 lines
748 B
Markdown
# Acha ... wanaofuatilia maisha yangu kuyachukua
|
|
|
|
"Tafadhali wafanye wale wanaojaribu kuniua waaibike na kuvunjwa matumaini"
|
|
|
|
# wanaofuatilia maisha yangu kuyachukua
|
|
|
|
Hapa "wanaofuatilia maisha yangu" inamaanisha hamu ya kumuua mwandishi. "wanaojaribu kuniua"
|
|
|
|
# Acha ... wanaofurahi kuniumiza
|
|
|
|
"Tafadhali wasimamishe wale wanaofurahi kuniumiza na uwatolea heshima"
|
|
|
|
# wageuzwe
|
|
|
|
Kuzuiliwa inazungumziwa kama kugeuzwa kutoka katika mashambulizi yao. "kuzuiwa"
|
|
|
|
# Acha ... wanaosema, "Aha, aha!"
|
|
|
|
"Acha wale wanaosema kwangu, 'Aha, aha!' washtuke kwa sababu ya aibu yao"
|
|
|
|
# Acha washtuke kwa sababu ya aibu yao
|
|
|
|
"Natamani washtuke utakapowaaibisha"
|
|
|
|
# wale wanaosema kwangu, "Aha, aha!"
|
|
|
|
"Aha, aha!" ni kitu wanachosema watu wakati wakimdhihaki mtu.
|