# Acha ... wanaofuatilia maisha yangu kuyachukua "Tafadhali wafanye wale wanaojaribu kuniua waaibike na kuvunjwa matumaini" # wanaofuatilia maisha yangu kuyachukua Hapa "wanaofuatilia maisha yangu" inamaanisha hamu ya kumuua mwandishi. "wanaojaribu kuniua" # Acha ... wanaofurahi kuniumiza "Tafadhali wasimamishe wale wanaofurahi kuniumiza na uwatolea heshima" # wageuzwe Kuzuiliwa inazungumziwa kama kugeuzwa kutoka katika mashambulizi yao. "kuzuiwa" # Acha ... wanaosema, "Aha, aha!" "Acha wale wanaosema kwangu, 'Aha, aha!' washtuke kwa sababu ya aibu yao" # Acha washtuke kwa sababu ya aibu yao "Natamani washtuke utakapowaaibisha" # wale wanaosema kwangu, "Aha, aha!" "Aha, aha!" ni kitu wanachosema watu wakati wakimdhihaki mtu.