sw_tn/psa/037/035.md

12 lines
298 B
Markdown

# waovu na mtu wa kutisha
Hii haimaanishi mtu bayana. Ni kauli ya ujumla.
# wanasambaa kama mti wa kijani katika udongo wake wa asili
Hapa mafanikio ya mtu mwovu yanazungumziwa kana kwamba ni mti wenye afya unaoota kwatikaudongo mzuri.
# hakupatikana
"Sikuweza kumpata" au "Yahwe alimchukua"