sw_tn/psa/037/034.md

12 lines
251 B
Markdown

# atakuinua kumiliki nchi
Hapa "kuinuka" inamaanisha Mungu kuwapa heshima wale wanaomsubiri. "atakuheshimu kwa kukupa nchi"
# waovu
"watu waovu"
# wanakatwa
Uharibifu wa waovu unazungumziwa kana kwamba walikuwa tawi la mmea uliokatwa na kutupwa.