sw_tn/psa/037/022.md

40 lines
1.1 KiB
Markdown

# Wale walio barikiwa na Mungu
"Wale ambao Mungu anawabariki"
# watarithi nchi
Umiliki wa nchi unazungumziwa kanakwamba umepokelewa kama urithi. "watapokea nchi kama mali yao" au "wataruhusiwa kuishi kwa usalama katika nchi"
# wale waliolaaniwa naye
"wale ambao Yahwe amewalaani"
# watakatwa
Uharibifu wa watu waovu unazungumziwa kana kwamba ni tawi la mmea uliokatwa na kutupwa.
# Ni kupitia Yahwe hatua za mtu zinaimarishwa ... inpendeza machoni pa Mungu
"Kama mtu anaishi katika njia ya kupendeza machono pa Yahwe, Yahwe ataimarisha njia zake"
# Ni kupitia Yahwe hatua za mtu zinaimarishwa
"Yahwe ndiye anayemwezesha mtu kufanikiwa"
# mtu ... mtu
Hii haimaanishi mtu bayana, lakini kwa watu kwa ujumla.
# hatua za mtu
Hatua zinawakilisha jinsi mtu anavyoishi. "jinsi mtu anavyoishi"
# Ingawa anajikwaa, hataanguka
Hapa "kujikwaa" na "kuanguka" inamaanisha jinsi mtu anavyojibu katika vipindi vigumu. "Ingawa ana vipindi vigumu, hatashindwa kabisa"
# anamshika kwa mkono wake
Hapa "mkono wake" inamaanisha nguvu ya Yahwe, na "kumshika" inamaanisha kumlinda. "kumlinda na nguvu yake"