sw_tn/psa/037/008.md

16 lines
416 B
Markdown

# watakatwa
Uharibifu wa waovu unazungumziwa kana kwamba walikuwa ni matawi ya mmea uliokatwa na kutupwa.
# lakini wale wanaomsubir yahwe
"lakini wale wanaomtumaini Yahwe"
# watarithi nchi
Kumiliki nchi kunazungumziwa kana kwamba itapokelewa kama urithi. "watapokea nchi kama urithi wao" au "wataishi kwa usalama katika nchi"
# atapotea
Lahaja hii inamaanisha kifo cha mtu mwovu. "atakufa na hautamwona tena"