sw_tn/psa/034/021.md

24 lines
648 B
Markdown

# Uovu utawaua waovu
Uovu unazungumziwa kana kwamba mtu anayeweza kuua watu. "Matendo maovu ya watu waovu yatawaua"
# waovu
Hii inamaanisha watu waovu.
# Wale wanaowachukia wenye haki watahukumiwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Yahwe atawahukumu wale wanaowachukia wenye haki"
# wenye haki
Hii inamaanisha watu wenye haki.
# Hakuna atakaye hukumiwa kwa wanaomkimbilia
Hii inaweza kutafsiriwa katika hali ya kutenda. Inaweza pia kutafsiriwa katika hali chanya. "Yahwe atawasamehe wote wanaomkimbilia"
# wanaomkimbilia
Kwenda kwa Yahwe kwa ajili ya ulinzi inazungumziwa kama kumkimbilia. 'kwenda kwake kwa ajilil ya ulinzi"