sw_tn/psa/034/015.md

16 lines
633 B
Markdown

# Macho ya Yahwe yako juu ya wenye haki
Hapa "macho ya Yahwe" inamaanisha kutazama kwake kwa makini. "wenye haki" inamaanisha watu wenye haki. "Yahwe huwatazama kwa makini watu wenye haki"
# mskio yake yameelekezwa kwa kilio chao
Hapa "maskio yake" inamaanisha hamu ya Yahwe kuwajibu. "anazingatia kilio chao" au "anajibu kilio chao"
# kukata kumbukumbu yao duniani
Yahwe atawasababisha watu wawasahau kabisa watakapokufa hadi inakuwa kana kwamba ametumia kisu kuikata kumbukumbu yao. "ili watakapokufa, watu watawasahau kabisa"
# Yahwe husikia
Hapa "husikia" inamaanisha kuwa Yahwe anatamani kuwajibu. "Yahwe anawazingatia"