|
# Hakuna mfalme anayeokolewa kwa jeshi kubwa
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Jeshi kubwa sicho kinachomwokoa mfalme"
|
|
|
|
# Farasi ni usalama wa uongo
|
|
|
|
Hapa "farasi" inawakilisha sehemu yenye nguvu zaidi ya jeshi. "Kuwa na jeshi lenye farasi imara halitoi usalama"
|