# Hakuna mfalme anayeokolewa kwa jeshi kubwa Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Jeshi kubwa sicho kinachomwokoa mfalme" # Farasi ni usalama wa uongo Hapa "farasi" inawakilisha sehemu yenye nguvu zaidi ya jeshi. "Kuwa na jeshi lenye farasi imara halitoi usalama"