sw_tn/psa/033/007.md

24 lines
662 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Kila mstari una mistari miwili yenye maana za kufanana.
# kama rundo
"kama nyuma ya bwawa." Mwandishi anaelezea uumbaji wa bahari kana kwamba Mungu anarundika maji yote pamoja.
# anaweka bahari katika ghala
Mwandishi anaelezea uumbaji wa bahari kana kwamba Mungu anayaweka katika ghala. "anaweka bahari katika sehemu yake, kama mtu anayeweka mbegu katika ghala"
# Acha dunia yote
Hii inamaanisha watu wa duniani. "Acha kila mtu duniani"
# isimame kwa kumstaajabu yeye
Hapa "isimame kwa kumstaajabu" ni lahaja inayomaanisha "kustaajabu." "kumheshimu"
# ikasimama
Hapa "ikasimama" ni lahaja inayomaanisha "iliumbwa." "kuanza kuwepo"