# Taarifa ya Jumla: Kila mstari una mistari miwili yenye maana za kufanana. # kama rundo "kama nyuma ya bwawa." Mwandishi anaelezea uumbaji wa bahari kana kwamba Mungu anarundika maji yote pamoja. # anaweka bahari katika ghala Mwandishi anaelezea uumbaji wa bahari kana kwamba Mungu anayaweka katika ghala. "anaweka bahari katika sehemu yake, kama mtu anayeweka mbegu katika ghala" # Acha dunia yote Hii inamaanisha watu wa duniani. "Acha kila mtu duniani" # isimame kwa kumstaajabu yeye Hapa "isimame kwa kumstaajabu" ni lahaja inayomaanisha "kustaajabu." "kumheshimu" # ikasimama Hapa "ikasimama" ni lahaja inayomaanisha "iliumbwa." "kuanza kuwepo"