sw_tn/psa/032/005.md

12 lines
429 B
Markdown

# Sela
Hili linaweza kuwa neno la kimuziki linalowaongoza watu jinsi ya kuimba au kujecheza vyombo hapa. Tafsiri zingine huandika neno hili la Kiebrania, na zingine haziliweki.
# katika kipindi cha dhiki kuu
"wakati wako katika taabu kubwa"
# Kisha maji yakifurika, hayatawafikia hao watu
Matatizo yanazungumziwa kana kwamba ni mafuriko ya maji. "Kisha matatizo yatakapokuja kama mafuriko ya maji, watu hao watakuwa salama"