# Sela Hili linaweza kuwa neno la kimuziki linalowaongoza watu jinsi ya kuimba au kujecheza vyombo hapa. Tafsiri zingine huandika neno hili la Kiebrania, na zingine haziliweki. # katika kipindi cha dhiki kuu "wakati wako katika taabu kubwa" # Kisha maji yakifurika, hayatawafikia hao watu Matatizo yanazungumziwa kana kwamba ni mafuriko ya maji. "Kisha matatizo yatakapokuja kama mafuriko ya maji, watu hao watakuwa salama"