sw_tn/psa/025/012.md

16 lines
615 B
Markdown

# Ni nani mtu anayemcha Yahwe?
Swali linatumbulisha "mtu anayemcha Yahwe" kama mada mpya. "Nitakuambia kuhusu mtu anayemcha Yahwe"
# mtu anayemcha ... mwelekeza ... anapaswa ... Maisha yake ...uzao wake
Hii haimaanisha mtu bayana. "ni wale wanaomcha ... anawaelekeza ... wanapaswa ... Maisha yao ... uzao wao"
# Bwana atamuelekeza katika njia anayopaswa kuchagua
Yahwe kuwafundisha watu jinsi wanavyopaswa kuwa inazungumziwa kana kwamba Yahwe alikuwa akiwafundisha watu ni njia gani wanapaswa kuifuata.
# Maisha yake yataenda katika wema
"Mungu atamsababisha kufanikiwa" au "Mungu atawasababisha kufanikiwa"