sw_tn/psa/023/006.md

16 lines
553 B
Markdown

# Hakika wema na uaminifu wa agano utanifuata
Yahwe kuwa mwema na mwaminifu kwa mtu inazungumziwa kana kwamba wema na uaminifu wa agano ni vitu vinavyomfuata mtu. "Hakika utakuwa mwema na mwaminifu kwangu"
# siku zote za maisha yangu
Nomino dhahania ya "maisha" inaweza kutafsiriwa kama kitenzi. "maadamu nina ishi"
# nyumba ya Yahwe
Maana zinazowezekana ni kwamba 1) hii inamaanisha nyumba ya milele ya Yahwe, au 2) hii inamaanisha hekalu la Yahwe Yerusalemu.
# kwa muda mrefu sana
Maana zinazowezekana ni 1) "milele" au 2) "maadamu nina ishi."