sw_tn/psa/019/007.md

16 lines
223 B
Markdown

# nafsi ... moyo ... macho
Maneno yote haya matatu yanamaanisha mtu mzima.
# wa kawaida
"wale wasiokuwa na uzoefu" au "wale ambao hawajajifunza"
# ni sahihi
"ni za kweli" au "ziko sawa"
# huleta nuru
"huleta uelewa"