# nafsi ... moyo ... macho Maneno yote haya matatu yanamaanisha mtu mzima. # wa kawaida "wale wasiokuwa na uzoefu" au "wale ambao hawajajifunza" # ni sahihi "ni za kweli" au "ziko sawa" # huleta nuru "huleta uelewa"