sw_tn/psa/018/037.md

24 lines
607 B
Markdown

# Nimewaponda
"Nimewavunja vipande vipande"
# hawakuweza kuinuka
"hawakuweza kusimama"
# wameanguka chini ya miguu yangu
Lahaja hii inamaansiha kuwa mwandishi wa zaburi amewashinda adui zake. "nimewashinda wote"
# umeweka nguvu juu yangu kama mshipi
Mwandishi wa zaburi anasema kuwa Yahwe amempa nguvu inayomzunguka na kumstahimili kama mshipi.
# umewaweka chini yangu
Hapa mwandishi wa zaburi anazungumzia kushindwa kwa adui zake kama kusimama juu yao. "unawashinda kwa ajili yangu"
# wale wanaojiinua dhidi yangu
Hii inamaansiha wale wanaompinga mwandishi wa zaburi. "wale ambao ni adui zangu"