forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
314 B
Markdown
8 lines
314 B
Markdown
# Wakaja dhidi yangu
|
|
|
|
Wanazungumziwa ni adui wenye nguvu katika msatari wa 17.
|
|
|
|
# Wakaja dhidi yangu katika siku ya dhiki yangu lakini Yahwe alikuwa msaada wangu
|
|
|
|
Neno "dhiki" linaeleza hali ya mtu mwenye shida nyingi. "Adui wenye nguvu walinivamia katika siku niliyokuwa na taabu nyingi, lakini Yahwe alinilinda"
|