# Wakaja dhidi yangu Wanazungumziwa ni adui wenye nguvu katika msatari wa 17. # Wakaja dhidi yangu katika siku ya dhiki yangu lakini Yahwe alikuwa msaada wangu Neno "dhiki" linaeleza hali ya mtu mwenye shida nyingi. "Adui wenye nguvu walinivamia katika siku niliyokuwa na taabu nyingi, lakini Yahwe alinilinda"