sw_tn/psa/018/013.md

20 lines
397 B
Markdown

# Yahwe akaunguruma mbinguni
Sauti ya Yahwe ilikuwa kama ya radi
# Aliye juu
"Aliye juu" inamaanisha Yahwe.
# Akapiga mishale yake na kuwatawanya adui zake ... miale ya radi ikawatawanyisha
Vishazi hivi viwili vina maana ya kukaribiana.
# Akapiga mishale yake na kuwatawanya adui zake
Hapa miale ya radi inazungumziwa kana kwamba ni mishale.
# ikawatawanyisha
"ikawapeleka pande tofauti"