# Yahwe akaunguruma mbinguni Sauti ya Yahwe ilikuwa kama ya radi # Aliye juu "Aliye juu" inamaanisha Yahwe. # Akapiga mishale yake na kuwatawanya adui zake ... miale ya radi ikawatawanyisha Vishazi hivi viwili vina maana ya kukaribiana. # Akapiga mishale yake na kuwatawanya adui zake Hapa miale ya radi inazungumziwa kana kwamba ni mishale. # ikawatawanyisha "ikawapeleka pande tofauti"