forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
495 B
Markdown
12 lines
495 B
Markdown
# Nilinde kama mboni la jicho lako
|
|
|
|
"mboni la jicho lako" inaashiria kitu kilicho na thamani. "Nilinde kama utakavyolinda kitu cha thamani sana"
|
|
|
|
# nifiche chini ya kivuli cha mbawa zako
|
|
|
|
Daudi anazungumzia ulinzi wa Mungu kana kwamba alikuwa ni ndege anayelinda watoto wake chini ya mbawa zake. "Niweke salama kama ndege anavyolinda makinda yake chini ya mbawa zake"
|
|
|
|
# midomo yao inazungumza kwa majivuno
|
|
|
|
Hapa "midomo yao inazungumza" inamaanisha kile ambacho watu wanasema. "huwa wanajidai"
|