|
# tele
|
|
|
|
"kubwa" au "kiasi kikubwa cha"
|
|
|
|
# furaha ... inakaa katika uwepo wako
|
|
|
|
Mwandishi anazungumzia "furaha" kana kwamba ni mtu.
|
|
|
|
# katika mkono wako wa kuume
|
|
|
|
Maneno "mkono wako wa kuume" yanaonesha kuwa katika uwepo maalum wa Mungu. "Ninapokuwa karibu na wewe"
|