# tele "kubwa" au "kiasi kikubwa cha" # furaha ... inakaa katika uwepo wako Mwandishi anazungumzia "furaha" kana kwamba ni mtu. # katika mkono wako wa kuume Maneno "mkono wako wa kuume" yanaonesha kuwa katika uwepo maalum wa Mungu. "Ninapokuwa karibu na wewe"