sw_tn/psa/014/005.md

20 lines
594 B
Markdown

# Wanatemeka
Wanaotetemeke ni wale wanaotenda maovu.
# Mungu yuko pamoja na mkusanyiko wa wenye haki
Kusema kuwa "Mungu yuko pamoja" na mkusanyiko wa wenye haki inamaanisha kuwa atawasaidia. HIi inaweza kuwekwa wazi. "Mungu huwasaidia wale wanaotenda haki" au "Mungu anawasaidia wale wanaotenda yaliyo sawa"
# Mnataka
Wanaotaka ni watu waovu.
# kumwaibishi mtu maskini
"kumfanya mtu aliye maskini kuona aibu"
# Yahwe ni kimbilio lake
Hii inazungumzia ulinzi ambao Yahwe anatoa kana kwamba ulikuwa kivuli ambacho mtu atatufuta wakati wa dhoruba. "Yahwe ni kama kivuli cha ulinzi kwake"