sw_tn/psa/013/005.md

8 lines
295 B
Markdown

# Nimetumaini katika uaminifu wako wa agano
Kwa kuzungumzia uaminifu wa Yahwe wa agano, Daudi anatumaini kuwa Yahwe atampenda daima. "Nina imani kuwa utanipenda kwa uaminifu"
# moyo wangu unafuahi ndani ya wokovu wako
Hapa "moyo wangu" unaashiria mtu mzima. "Nitafurahi kwa sababu umeniokoa"