forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
393 B
Markdown
16 lines
393 B
Markdown
# Yahwe pia atakuwa ngome kwa wanaokandamizwa
|
|
|
|
Mungu anazungumziwa kana kwamba alikuwa ni sehemu ambapo watu wanaweza kwenda kwa ajili ya usalama. "Yahwe pia atawalinda wanaokandamizwa" au "Yahwe atawapa usalama wale wanaokandamizwa"
|
|
|
|
# ngome
|
|
|
|
"pa kukimbila" au "kivuli"
|
|
|
|
# Wale wanaolijua jina lako
|
|
|
|
Hapa maneno "jina lako" yanamaanisha Mungu. "Wale wanaokujua"
|
|
|
|
# usiwatelekeze
|
|
|
|
"usiwaache"
|