forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
651 B
Markdown
8 lines
651 B
Markdown
# yule ambaye yuko mimba na uovu ... anajifungua mipango haribifu ... anazaa uongo wenye madhara
|
|
|
|
Daudi anazungumzia vitu ambavyo mtu mwovu anafanya kama mtu mwenye mimba na uovu ndiye mtoto. "mtu mwovu. Anafanya mipango ya kuangamiza watu kusabisha uongo wenye
|
|
|
|
# Mipango yake ya uharibifu yanarudia kichwa chake mwenyewe, kwa kuwa vurugu zake zinashuka chini ya kichwa chake
|
|
|
|
Uharibifu na vurugu zinazungumziwa kana kwamba zinagonga kichwa cha mtu au kumdondokea. "Mipango yake ya uharibifu inamuangamiza, kwa kuwa vurugu yake inamshambulia" au "Anapopanga kuangamiza wengine, wengine wanamuangamiza; anaposhambulia wengine, wengine wanamshambulia"
|