|
# nithibitishe
|
|
|
|
"waoneshe kuwa sina hatia"
|
|
|
|
# imarisha watu wenye haki
|
|
|
|
"wafanye watu wenye haki kuwa imara" au "wafanye watu wenye haki wafanikiwe"
|
|
|
|
# wewe unayechunguza mioyo na akili
|
|
|
|
Mioyo na akili zinaashiria tamaa na mawazo ya watu. "wewe unayejua mawazo yao ya ndani"
|