sw_tn/psa/004/002.md

24 lines
872 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Daudi anaimba sehemu hii ya wimbo kana kwamba anazungumza na adui zake.
# Nyie watu, mtageuza heshima yangu kuwa aibu hadi lini?
Daudi anatumia swali hili kuwakemea adui zake. "Nyie watu mnaendela kugeuza heshima yangu kuwa aibu!"
# mtageuza heshima yangu kuwa aibu
Kumwaibisha badala ya kumheshimu inazungumziwa kama kuifanya heshima yake kuwa aibu. "kuniaibisha badala ya kuniheshimu" au "kuniletea aibu badala ya kuniletea heshima"
# Hadi lini mtapenda kile kisicho na dhamani na kutafuta uongo?
Daudi anatumia swali hli kuwakemea adui zake. "Mnaendela kupenda vitu visivyo na dhamani na kutafuta uongo."
# mtapenda kile kisicho na dhamani ... kutafuta uongo
Misemo hii miwili inamaana ya kufanana. Uongo hauna dhamani. "mtapenda uongo usio na dhamani"
# Yahwe anawatenga watauwa kwa ajili yake
"Yahwe anawachagua watauwa kwa ajili yake"