sw_tn/psa/004/001.md

28 lines
611 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# Kwa mwanamuziki mkuu
"Hii ni kwa kiongozi wa muziki kutumia katika kuabudu"
# kwenye vyombo vya nyuzi
"watu wanapaswa kucheza vyombo vya nyuzi na wimbo huu"
# Zaburi ya Daudi
Maana zinazowezekana ni 1) Daudi aliiandika zaburi au 2) zaburi inamhusu Daudi au 3) zaburi iko katika mtindo wa zaburi za Daudi.
# Nijibu ninapoita
"Nisaidie ninapoita"
# Mungu wa haki yangu
"Mungu, unayeonesha kuwa ni mwenye haki"
# nipe nafasi ninapozungukwa
Kuwa hatarini inazungumziwa kama kuwa katika nafasi finyu. "niokoe ninapokuwa hatarini"