sw_tn/psa/002/012.md

16 lines
566 B
Markdown

# Mbusu mwana
Watu walimwonesha mfalme wao kuwa walikuwa waaminifu kwake kwa kumbusu, labada miguuni. "Mwonesheni mwana kuwa kweli ni waaminifu kwake" au "Sujuduni kwa unyenyekevu kwa mwanaye"
# mtakufa njiani
Hii inaweza kumaanisha kufa hapo hapo, kabla hajapata nafasi ya kuondoka. "utakufa hapo hapo"
# hasira yake inapowaka kwa muda tu
Hasira ya mfalme inazungumziwa kama vile ni moto unaoweza kuwaka. "anapokasirika sana ghafla"
# wanaotafuta usalama kwake
Kumuomba mfalme ulinzi inazungumziwa kama kutafuta usalama kwake. "wanaomuomba mfalme kuwalinda"