# Mbusu mwana Watu walimwonesha mfalme wao kuwa walikuwa waaminifu kwake kwa kumbusu, labada miguuni. "Mwonesheni mwana kuwa kweli ni waaminifu kwake" au "Sujuduni kwa unyenyekevu kwa mwanaye" # mtakufa njiani Hii inaweza kumaanisha kufa hapo hapo, kabla hajapata nafasi ya kuondoka. "utakufa hapo hapo" # hasira yake inapowaka kwa muda tu Hasira ya mfalme inazungumziwa kama vile ni moto unaoweza kuwaka. "anapokasirika sana ghafla" # wanaotafuta usalama kwake Kumuomba mfalme ulinzi inazungumziwa kama kutafuta usalama kwake. "wanaomuomba mfalme kuwalinda"