sw_tn/pro/31/24.md

16 lines
269 B
Markdown

# kitani
vazi lililotengenezwa kwa kitani
# mishipi
vipande virefu vya nguo huvaliwa kiunoni au kwenye bega moja
# huvikwa nguvu na heshima
"kila mtu anaweza kumwona yupo imara na kwa hiyo wanamheshimu"
# huucheka wakati ujao
"haogopi yatakayotekea wakati ujao"