# kitani vazi lililotengenezwa kwa kitani # mishipi vipande virefu vya nguo huvaliwa kiunoni au kwenye bega moja # huvikwa nguvu na heshima "kila mtu anaweza kumwona yupo imara na kwa hiyo wanamheshimu" # huucheka wakati ujao "haogopi yatakayotekea wakati ujao"