sw_tn/pro/31/20.md

16 lines
312 B
Markdown

# kwa mkono wake huwafikia maskini
"huwasaidia maskini"
# kwa mkono wake huwafikia
angalia 31:18.
# huvikwa nguo nyekundu
"nyekundu" haimaanishi rangi ya nguo lakini ni vazi la gharama na lenye joto. "kuwa na mavazi ya gharama na yenye joto "
# nyekundu
rangi nyekundu, lakini yenye michirizi ya chungwa.