# kwa mkono wake huwafikia maskini "huwasaidia maskini" # kwa mkono wake huwafikia angalia 31:18. # huvikwa nguo nyekundu "nyekundu" haimaanishi rangi ya nguo lakini ni vazi la gharama na lenye joto. "kuwa na mavazi ya gharama na yenye joto " # nyekundu rangi nyekundu, lakini yenye michirizi ya chungwa.