sw_tn/pro/31/13.md

20 lines
389 B
Markdown

# sufu
manyoya ya kondoo ambayo hutumika kutengeneza nguo
# kitani
mmea ambao nyuzi zake hutumika kutengeneza nguo ya kitani
# kwa furaha ya mikono yake
"hujisikia furaha kufanya kazi kwa mikono yake "
# mfanya biashara
mtu anayenunu na kuuza
# hugawa kazi kwa ajili ya mtumishi wake wa kike
"huwaambia watumishi wake wa kike kazi ambazo kila mmoja wao anapaswa kufanya kwa siku"