# sufu manyoya ya kondoo ambayo hutumika kutengeneza nguo # kitani mmea ambao nyuzi zake hutumika kutengeneza nguo ya kitani # kwa furaha ya mikono yake "hujisikia furaha kufanya kazi kwa mikono yake " # mfanya biashara mtu anayenunu na kuuza # hugawa kazi kwa ajili ya mtumishi wake wa kike "huwaambia watumishi wake wa kike kazi ambazo kila mmoja wao anapaswa kufanya kwa siku"